Kuna tetesi kutoka viunga vya watu wakubwa kwamba mfumo (dola) imemtishia mzee Mbowe kuwa endapo hatagombea uenyekiti, basi wataweka hadharani asali yote aliyoilamba (miamala yote aliyopokea toka ccm/ serikali ktk nyakati tofauti tofauti za kutuliza dhoruba ya kisiasa nchini.
Siyo kwamba Mbowe haoni jinsi umma unavyomkataa na hajui madhara yake kwenye chama chake, lkn hana namna. Analipia asali aliyoilamba.
Je, kuna ukweli katika tetesi hizi??
Kama ni kweli, basi hii inanikumbusha wimbo mmoja wa Mzee Yusufu una kibwagizo kisemacho "umekunywa soda yangu mie, utanibeba leo".