Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Huyu mzee janja2 sana ndo maana alikuwa anajificha kwenye kichaka cha media kila siku kudraw attention, mara usile hiki mara lala mzungu wa 4 na mkeo wiki ya kwanza. Kumbe mweupe tu kwenye mambo ya moyo.
 
Tanzania ndio ilivyo uyo ni mtu wa system kubebwa ni lazima tu uwe na elimu usiwe na elimu utakula shavu tu

Ingawa sector ambayo naamini haijaingiliwa ni ya afya hvyo yawezekana kweli professor yupo vizuri but siasa ndio zinamchafua.
Ukizingatia kazi Maalum alizowahi kufanya.....ni lazima tuu apewe shavu lake.

Kwa kifupi mimi ninamkubali sana Janabi tokea mwanzo,hta km moja ya kazi zake maalum zinaniuma saana.
Public awareness kuhusu Afya ni Kazi saafi saana ya Janabi kwa Taifa letu.

All the best Dr Janabi.
 
Mjadala huu wote ni kwasababu jina lake halisi ni Mohamed, humu JF sikuhizi kuna tatizo fulani la kumuangalia mtu utendaji wake kwa misingi ya kibaguzi.

kuanzia Rais, na watendaji wengine wote wanapitia changamoto hiyo!!!

Na yanafanyika haya kwa lengo maalumu.
 
Pale taasisi ya moyo ya Jakaya kikwete kuna tapeli mmoja anaitwa Prof Ny........ yule jamaa jamaa ni tapeli ana clinic zake za kitapeli morogoro.Kuna jambo alilifanya nitakuja kuliweka humu hadharani siku moja
Huyo mwamba naye sijui ana connection sana?
Alishawahi kuongelewa kwenye mitandao (ikiwemo JF) kuwa ana elimu ya magumashi kwenye hayo mambo ya moyo. Inasemekana wagonjwa wengi walikufa kwa ubabaishaji wake kuanzia Mbeya hadi Morogoro.
 
Sio kweli. Watu walio objective wanaangalia facts tu. Hayo mambo ya majina labda yako kichwani kwako wewe. Mbona usomi wa Dr Bilali (former VP) au shangazi Fatmah Karume, hautiliwi shaka hata kidogo?
 
Me mwenyewe nimehitimu MUHAS ila kulinganisha elimu ya sekta ya afya ya urusi na Tanzania ni kukosa heshima
Huyo Zanzibar-ASP anajitia uchizi wakati yeye ni timamu.
Wale jamaa wako.mbali mno.
Mpaka sasa hapo MNH hawajafanikiwa kutengeneza vaccine ya Covid-19 hao jamaa walitengeneza chap mara moja.
 
Huyo Zanzibar-ASP anajitia uchizi wakati yeye ni timamu.
Wale jamaa wako.mbali mno.
Mpaka sasa hapo MNH hawajafanikiwa kutengeneza vaccine ya Covid-19 hao jamaa walitengeneza chap mara moja.
Hakuna mtu anasema Urusi, China au India wako nyuma katika sayansi ya Afta na tiba. Wametuzidi mbali sana. Lakini linapokuja suala la kumfundisha kijana kutoka Tanzania ili kuja kuwa Daktari bora hapo tumewatangulia mnoo. Mfumo wao umeegemea kumfanya mwanafunzi kusikiliza, kusoma na KUTAZAMA (Listen,Read and observe) wakati kwa Tanzania mfumo umejikita zaidi kwenye kusikiliza, kusoma, kutazama, KUFANYA, KUFANYA, KUFANYA.....
 
Kwa hichi ulichoandka hapa,w sio dr
Futa hyo prefix huna unachokijua
Znzibar ASP cmjui ila anachoongea n very right
Acha kuvamia profession za watu
 
Unachanganya mambo.
Wahitimu wote wa udaktari waliosoma ndani na nje ya nchi utawakuta hospitali za umma na binafsi, mijini na vijijini, hivyo kuzorota kwa huduma kokote hakuna uhusiano wowote wa kuweza kuwatofautisha, ni tatizo la mifumo.
Safi
 
Akikujibu niire mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…