Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Akina Steven nyerere! Ahhhhaaaa!
 
Number 10 itamharibia kama Kwa jinsi yeyote Ile ame fake...Hii wenzetu wanaiangalia sana...Unatakiwa kuwa honest na reliable...Kama ame fake baadhi ya qualifications zake basi inatia shaka self discipline yake...Unatakiwa kuwa authentic, reliable and trustworthy Ili kuonyesha integrity yako kitu Cha msingi kabisa maana maamuzi mengi yanahitaji wewe kwanza kuwa reliable na authentic
 
Phd in cardiology pekee tu inatosha ukiacha hio fellowship.

Mjomba una wivu na phd na fellowship ya Prof janabi
 

Attachments

  • Screenshot_20241214_034737_Chrome.jpg
    185.5 KB · Views: 3
Shida yetu watanzania wengi...Sijui kwanini hatutaki kuwa authentic....Ukiona watu wanadanganya hadharani hata Kwa hizo honorary degrees nakuzifanya kuwa kama vile ndizo ujue tunatatizola kimaadili na kujiamini kama taifa...Ni karibu sehemu zote kwakua tunatukuza sana Vyeti kuliko ujuzi...Chati lazima kithibituke na ujuzi vyote Kwa pamoja vinakupatia uhalisia wako.

Kuna haja kama taifa kuli address hili maana tutashindwa kuaminika kimataifa
 
Mmed sio equivalent na PhD ..
 
Aisee
 
Ww mweusi?? Hebu huko...kwani kitengo cha moyo cha JK ni hospital nzima? Kama ni mkurugenzi hospital nzima ni sawa pia..
Mnajikutaga mnajua kumbe hamna lolote..
Hivi unakielewa hata ulicho kiandika!?
Leta ushahidi kama anafany JK kwa sasa kama mkurugenzi.
Mashabiki wa janabi, leteni huo ushahidi janabi ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na anapractice vipi hiyo taaluma huku hatambuliki labda ashakutibu moyo tupe ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…