kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
Niliona matangazo yao nikawa interested sana na bidhaa zao ingawa ni ghali kidogo, nikanunua oil yao 5W40 ile ya bei juu na filter zao za gulf, nikafanya service nikaanza kupiga route za kufa mtu, mpaka sasa nimetembea umbali takribani km 8000 lakini nikiangalia ubora wa hii oil viscosity yake naona imechoka sana kabla ya hiyo km 10000. Sasa je kuna ukweli wowote kuhusu hii oil kuvumilia umbali wa km 10000? Au ni lugha tu ya kibiashara wakuu.
Msaada wenu nisije nikaua haka ka gari kangu.
Msaada wenu nisije nikaua haka ka gari kangu.