Ni kweli lique mol engine oil ni 10000km?

Ni kweli lique mol engine oil ni 10000km?

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
789
Niliona matangazo yao nikawa interested sana na bidhaa zao ingawa ni ghali kidogo, nikanunua oil yao 5W40 ile ya bei juu na filter zao za gulf, nikafanya service nikaanza kupiga route za kufa mtu, mpaka sasa nimetembea umbali takribani km 8000 lakini nikiangalia ubora wa hii oil viscosity yake naona imechoka sana kabla ya hiyo km 10000. Sasa je kuna ukweli wowote kuhusu hii oil kuvumilia umbali wa km 10000? Au ni lugha tu ya kibiashara wakuu.

Msaada wenu nisije nikaua haka ka gari kangu.
 
Bidhaa yenyewe ni hiyo hapo[emoji116]
20210120_095329.jpg
 
Lugha ya biashara tu hiyoo sikuzote kumbuka mazingira yetu ya joto Kali ni vugumu Sana oil kwenda km 10000,Ila umefanya Jambo Jema kutumia oil yenye ubora.

Lique mol ni oil Bora namba 1 Tanzania ikifuatia na Castrol
 
Ubora wa oil hauharibiwi na joto maana kwenye engine temp ni zaidi ya 100c. Kama oil ni synthetic inadumu hadi km 15,000 km. Ila kama unaendesha ovyo, unavuta tela au una race ndo 10,000 so upo safe
 
Back
Top Bottom