Kuna kila dalili Luteni Urio alikuwa na mpango wa kula hela za Mbowe kupitia wale vijana na wakati huo huo alikuwa na matarajio kuwa CHADEMA ingeshinda angepata ukubwa Jeshini. Hilo lina asilimia kubwa ya ukweli.
Luteni Urio baada ya kuona mambo yamebadilika aliamua kugeuka ingawa inavyosemwa kugeuka kwake kulikuwa ni baada ya muda mrefu sana sana na hata maelezo yake yalibandikwa tarehe ingine ya nyuma ili kuyahalalisha.
Za chini chini zinaonesha kuwa Urio alikuwa ni mpenzi mkubwa na wa kweli wa CHADEMA na hata kadi anayo. Lakini baada ya kuonesha huo ushabiki wake wa wazi wazi alishtukiwa na Mwajiri wake na Serikali pia na ndiyo maana alichobaki nacho ni kuendelea kujitetea ili asipoteze ugali wake.
Haya niliyoyaandika yatajitokeza mara pale Jaji atakapotamka kuwa akina Mbowe wana kesi ya kujibu na wao kuanza kujitetea.
Haya yanaweza tu kubaki tetesi iwapo Jaji ataamua kuwa washtakiwa hawana kesi ya kujibu kwani mchezo ndiyo utakuwa umeishia hapo!