Ni kweli Luteni Urio alitoa taarifa ya tukio au baada ya kushtukiwa mpango wake akawageuka?

Kingai, Jumanne, Mahita, Goodluck, wote walikua ni kutoka polisi Arusha ambako Sabaya ndiyo base yake iliko. Sabaya ndiye aliye organise huu mchongo, na hakutaka kutumia polisi wa Moshi kwa sababu hakuwa na good terms na Polisi Moshi (Kilimanjaro).

Kumbuka yule RPC aliyekua Kilimanjaro ambaye sasa ni Mkurugenzi wa TAKUKURU, alimkatalia wazi kabisa juu ya tuhuma alizozitunga Sabaya kwa wamiliki wa mabasi ya Lim Safaris na Machame Safaris, kuhusu kuharibu miundo mbinu ya Reli. Ulikua ni mchongo wa Sabaya kuwatuhumu uongo wafanyabiashara wale.

Kutokana na kutokua vizuri na Polisi Kilimanjaro, aliamua kutumia polisi wa Arusha ambako yuko nao vizuri na ndiko vilikua viwanja vyake na amekulia huko akiwa UVCCM.
Nakupata vema
 
Hivi ni kweli alimkana baba yake mdogo,, kwaninj kibatala hakumkomalia hapo?
Ilitosha hapo hapo alivyomkana baba yake manake Kibatala alitamani amkane na si vinginevyo!
 
Goodluck Minja
---- Kingai
Jumanne---

--- Swila
Mahita Omari Mahita
Msekwa----

Ninaomba majina yao angalao matatu tu tuwafuatilia kwa nia njema ya kuitetea jamhuri na uhai wa watu wake
Mahakamani kufanya nini?Mahakamani kupoteza muda
KINGAI
JUMANNE
MAHITA
GOODLUCK
Wanatakiwa kurogwa !
 
Kingai, Jumanne, Mahita, Goodluck, wote walikua ni kutoka polisi Arusha ambako Sabaya ndiyo base yake iliko. Sabaya ndiye aliye organise huu mchongo, na hakutaka kutumia polisi wa Moshi kwa sababu hakuwa na good terms na Polisi Moshi (Kilimanjaro).

Kumbuka yule RPC aliyekua Kilimanjaro ambaye sasa ni Mkurugenzi wa TAKUKURU, alimkatalia wazi kabisa juu ya tuhuma alizozitunga Sabaya kwa wamiliki wa mabasi ya Lim Safaris na Machame Safaris, kuhusu kuharibu miundo mbinu ya Reli. Ulikua ni mchongo wa Sabaya kuwatuhumu uongo wafanyabiashara wale.

Kutokana na kutokua vizuri na Polisi Kilimanjaro, aliamua kutumia polisi wa Arusha ambako yuko nao vizuri na ndiko vilikua viwanja vyake na amekulia huko akiwa UVCCM.
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Goodluck Minja
---- Kingai
Jumanne---

--- Swila
Mahita Omari Mahita
Msekwa----

Ninaomba majina yao angalao matatu tu tuwafuatilia kwa nia njema ya kuitetea jamhuri na uhai wa watu wake
Muhimu sana... Ipo siku watakuja kulipia haya yote waliyoyafanya..
 
Je ulikuwepo siku ya tukio?

Ulikuwa wapi mpaka umesubiri hii kesi ndio uanze kupayuka uongo wako?

Acheni kuwa mnaongea vitu ambavyo kama sio Jamiiforums kukukingia kifua.
Ukibanwa ueleze uhalisia na uthibitisho utabaki kukodoa tu.

Muigeni Saed Kubenea yeye amekusanya ushahidi na amefungua kesi mahakamani dhidi ya Paul Makonda.

Sasa nyinyi wangese mnakaa kupost ujinga kisa tu unamiliki smartphone na ni member wa Jamiiforums.
Una uhakika kuhusu la Kubenea na Bashite?

Yaani unamponda mwenzako kwamba hana ushahidi huku unasema ya Kubenea bila uthibisho
 
Back
Top Bottom