Ni kweli madirisha ya PVC white hayafai mikoa ya joto kama Dar?

Ni kweli madirisha ya PVC white hayafai mikoa ya joto kama Dar?

secret file

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
5,843
Reaction score
8,637
Wakuu habari ya asubuhi.

Moja kwa moja kwenye mada. Nataka kuweka madirisha ya PVC white daraja la juu kabisa....

But kuna baadhi watu waliowahi kuweka hayo madirisha wananiambia hayafai kwenye mikoa ya joto kama Dar es salaam baada ya muda yanapinda (bend)

Tafadhali yeyote mwenye uelewa zaidi anaweza kunisaidia kujua ukweli tusije ingia mkenge

The floor is yours

Uzi tayari.
 
Wakuu habari ya asubuhi.

Moja kwa moja kwenye mada.Nataka kuweka madirisha ya PVC white daraja la juu kabisa....

but kuna baadhi watu walio wahi kuweka hayo madirisha wananiambia hayafai kwenye mikoa ya joto kama Dar es salaam baada ya muda yanapinda (band)

tafadhali yyte mwenye uelewa zaidi anaweza kunisaidia kujua ukweli tusije ingia mkenge
the floor is yours

uzi tayari.
Yaonekana ndio umeanza kujenga ujenzi wa uzeeni unatabu sana tofautisha kati ya upvc na pvc kwanza sawa
 
Yaonekana ndio umeanza kujenga ujenzi wa uzeeni unatabu sana tofautisha kati ya upvc na pvc kwanza sawa
Tusaidie unachokijua bro....
Nimesema PVC white.....
Hakuna sehemu nimeandika upvc....
Na swali langu ni juu ya uimara wake kwenye mikoa ya joto kama Dar
Wote sio mafundi nyumba....!!?
Wengine kazi zetu ni kupeleka meli
 
Wakuu habari ya asubuhi.

Moja kwa moja kwenye mada.Nataka kuweka madirisha ya PVC white daraja la juu kabisa....

but kuna baadhi watu walio wahi kuweka hayo madirisha wananiambia hayafai kwenye mikoa ya joto kama Dar es salaam baada ya muda yanapinda (bend)

tafadhali yyte mwenye uelewa zaidi anaweza kunisaidia kujua ukweli tusije ingia mkenge
the floor is yours

uzi tayari.

Tumia aluminium achana hizo PVC zi za kudumu milele
 
Wakuu habari ya asubuhi.

Moja kwa moja kwenye mada.Nataka kuweka madirisha ya PVC white daraja la juu kabisa....

but kuna baadhi watu walio wahi kuweka hayo madirisha wananiambia hayafai kwenye mikoa ya joto kama Dar es salaam baada ya muda yanapinda (bend)

tafadhali yyte mwenye uelewa zaidi anaweza kunisaidia kujua ukweli tusije ingia mkenge
the floor is yours

uzi tayari.
Mkuu tafuta mafundi wakupe experience zao, hapa utajibiwa majibu ya kukera!!

Ila ushauri wangu tumia aluminum, mimi nilishauriwa na fundi kutumia aluminum na sio fibres au PVC
 
Jikiteni kwenye mada vijana.
Wakuu habari ya asubuhi.

Moja kwa moja kwenye mada.Nataka kuweka madirisha ya PVC white daraja la juu kabisa....

but kuna baadhi watu walio wahi kuweka hayo madirisha wananiambia hayafai kwenye mikoa ya joto kama Dar es salaam baada ya muda yanapinda (bend)

tafadhali yyte mwenye uelewa zaidi anaweza kunisaidia kujua ukweli tusije ingia mkenge
the floor is yours

uzi tayari.
Afu kama upo Dar, nenda kkoo kuna mafundi wana bei nafuu mnooo
 
Wakuu habari ya asubuhi.

Moja kwa moja kwenye mada.Nataka kuweka madirisha ya PVC white daraja la juu kabisa....

but kuna baadhi watu walio wahi kuweka hayo madirisha wananiambia hayafai kwenye mikoa ya joto kama Dar es salaam baada ya muda yanapinda (bend)

tafadhali yyte mwenye uelewa zaidi anaweza kunisaidia kujua ukweli tusije ingia mkenge
the floor is yours

uzi tayari.
Yana joto sana labda ufunge kiyoyozi
 
Nafikiri unazungumzia madirisha ya uPVC na sio PVC! Kuna utofauti mkubwa kati ya PVC (Poly Vinyl Chloride) na uPVC (unplasticized Poly Vinyl Chrolide).

Kwanza tambua uPVC ni material ngumu sana, na haijikunji kirahisi kama PVC, ndio maana uPVC inakuwa recommended kwa ajili ya frame za milango na madirisha.

Kwahiyo kukuweka sawa tu, unazungumzia madirisha ya uPVC.

Kuhusu ubora na madhara katika mazingira ya Joto.

Kwa kifupi madirisha ya uPVC ni bora kuliko madirisha ya aluminium hasa katika mazingira ya joto kwa sababu zifuatazo:-

1. Madirisha ya uPVC yana high temperature insulation kwa hiyo yana good temperature preservation Mara 1000 zaidi ya aluminium windows. Kwa mantiki hiyo chumba chenye dirisha la Aluminium kinakuwa na kiwango kikubwa cha joto kuliko dirisha la frame ya uPVC.

2. Wakati wa janga la moto dirisha la uPVC halishiki moto kwa urahisi zaidi na material yake yana uwezo wa kupunguza au kuuzia moto kabisa katika frame kwasababu limengenezwa na material inayolifanya kuwa na good combustion - retarding performance.

3. Lina himili mazingira yoyote kama ubaridi, joto hata upepo bila kuhafifisha mwonekano wake (kifupi ni imara kwa mazingira tofauti tofauti) mfano mzuri ni bomba za uPVC za maji zinafukiwa ardhini na zinauwezo wa kukaa zaidi ya miaka 25. Aluminium window ikipigwa na jua baada ya muda inahafifisha muonekano wake.

4. Lakini pia uPVC inasaidia kuzuia sauti kupita kutoka sehem moja kwenda nyingine (ina sound insulation ), ndio maana Mara nyingi zinatumiwa sana kwenye office partitions.

5. Kuhusu kutanuka wakati wa joto ni kweli ina inatanuka (expand) na sio kujikunja (bending); lakini hii inatokea hata kwa dirisha la aluminium si uPVC peke yake. Hata hivyo madirisha ya uPVC yanatanuka zaidi katika nyuzi joto kuanzia 40°C, (hivyo si rahisi kwa Dar joto kufika 40°C kwa zaidi ya masaa 6). Vile vile joto likipungua dirisha linarudi katika hali yake ya awali. Kumbuka kutanuka kunatokea pia kwenye madirisha ya aluminium.

Je kuna madhara ya kutanuka kwa dirisha la uPVC kutokana na joto?

Binafsi naweza kusema, sio madhara ya kumfanya mtu asiyatumie; utafauti utauona pale unapofunga dirisha unaweza kuhisi kuna ugumu fulani (kama ni slidding window, utahisi haiko smooth kwenye reli zake) lakini inafunga vizuri na bila shida, hata hivyo joto likipungua dirisha linakuwa vizuri. Vile vile sio rahisi hiyo hali kutokea maana ni vigumu joto la zaidi ya 40°C kudumu zaidi ya masaa 6.

Kwa maelezo hayo; jiridhishe kama ni uPVC, binafsi nakushauri kutumia.

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom