Ni kweli madirisha ya PVC white hayafai mikoa ya joto kama Dar?

Mkuu nashukuru sana kwa clarification...
umenisaidia sana sana.....
Mungu akubariki.
 
Safi sana. Wengi hatuweki coz we can't afford them. Kusema eti hayavutii au si bora kuliko aluminium ni maneno ya kujipa moyo
 
Wanaokwambia hivyo ni Aina ya mafundi waliokuwa wanasema usinunue gari automatic transmission ni mbovu
 
Mkuu asante sana umeeleza kitaalamu safi sana hadi umenibadilisha mawazo ya aluminium ndiyo nilikuwa nikanunue mara baada ya kibubu changu kujaa ila sasa nitajinyima niweke Upvc!!
 
Ni madirisha expensive sana, ila hawa wengi tunaoyasemea ubaya ni kwa sababu wengi hatuna nyumba na pia kuna kikundi kikubwa kimejiunga JF kina majibu ya hovyo hovyo ila basi waonekane wamechangia uzi
 
Yaonekana ndio umeanza kujenga ujenzi wa uzeeni unatabu sana tofautisha kati ya upvc na pvc kwanza sawa
Nyie watoto wa matajiri hamna adabu, wewe kuzaliwa tu ukajikuta tayari umefunguliwa akaunti ya bilioni mbili na umefika chuo una bilioni nane na kamjengo ka ghorofa basi unaanza kukejeri watu! Kosa babayo kuwa tajiri ungeijua dunia upande wa pili.
 
Huku kwetu Kasulu unayaweka meupe yanageuka yanakuwa nyekundu
 
Nyie watoto wa matajiri hamna adabu, wewe kuzaliwa tu ukajikuta tayari umefunguliwa akaunti ya bilioni mbili na umefika chuo una bilioni nane na kamjengo ka ghorofa basi unaanza kukejeri watu! Kosa babayo kuwa tajiri ungeijua dunia upande wa pili.
Na kosa zaidi Baba yake utajiri wenyewe kaupata baada kuiba Mali ya Umma!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tafuta mafundi wakupe experience zao, hapa utajibiwa majibu ya kukera!!

Ila ushauri wangu tumia aluminum mm nilishauriwa na fundi kutumia aluminum na sio fibres au PVC
Kwani hapa hakuna mafundi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…