Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Kuna mtu kanunua mafuta ya alizeti, akauliza 'expire date' akaambiwa hayana 'expire date'. Kwamba ni kama asali.
Je, kweli? Kwani baadhi ya 'package' za bidhaa hiyo haionesho mwisho wa matumizi. Na nyingine inaonesha lakini tayari imeshapita japo bado iko sokoni!
Naomba kwa anayejua anisaidie!
Je, kweli? Kwani baadhi ya 'package' za bidhaa hiyo haionesho mwisho wa matumizi. Na nyingine inaonesha lakini tayari imeshapita japo bado iko sokoni!
Naomba kwa anayejua anisaidie!