Ni kweli Makonda ana ' mapungufu ' yake ila kwa hili la ' Kuzushiwa ' kwa kinachomsibu sasa Ruge tunamuonea sana!

Leo hujaongea mambo ya 'dally kimoko' au ndio 'figo'?

Nimemheshimu sana na namhifadhi mno Mtani wangu huyo wa Kihaya. Leo ni ' Figo ' na la ' Nyuzi ' za ' Dally Kimoko ' naomba lisiwe mjadala na niishie hapa tafadhali.
 
maneno ya kashfa/matusi hayakusaidii tupe ushaidi wa izo tuhuma kama si kweli

sio kutwambia et nimeambiwa na mtu wa karibu (kwamba yeye hawezi danganya)

ukeshe na nani hapa maana bandiko lako limejaa mahaba kwa makonda ambayo wewe unaita ukweli na haki.

ukweli upi wa kuambiwa, acha kuleta stori za vijiweni hapa
 
Kama were, hakuna cha maana umejibu hapa
 
Mimi sijui kwakweli..i cant pick a side..!!

Sasa kama umeshasema kuwa hujui kwakweli utawezaje tena kusema kuwa huwezi kuchukua upande? Hivi hii ndiyo ' logical reasoning ' kabisa ya Wasomi wa Kitanzania wa leo?
 
Mkuu hata hiki ni kijiwe[emoji16] [emoji16] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Unazunguka zunguka nn..sema lengo lako unataka hao akina.....watoke kwa mgongo was makonda??maelezo marefuuuu afu point yako umeweka mwisho..lakin sio makonda aliewashtaki??wa kuwatoa ni hao waliowashtaki!!!
 
Jamani mnauhakika gani? Ukimwi siku hizi siyo ugonjwa ni kufuata masharti tu, huyo Ruge tatizo itakuwa hiyo figo au sumu kawa walimwengu wasemavyo

La ' Dally Kimoko ' naomba nisilitolee maoni yoyote, la Figo nina uhakika nalo 100% na la Kumuhusisha Mkuu wa Mkoa Makonda kuwa amemuwekea ' Sumu ' nalikataa kwa 100%. Tumezidi sasa Kumuonea na Kumzushia Makonda hata kwa matatizo ambayo yanatokana na Upopoma / Upumbavu wetu wenyewe.
 

Your STUPIDITY IS APPROVED.
 
Mkuu muimba taraabu wa kiume hurembua hata macho.


Omary Kopa R.I.P Hao shilawadu hakuna tofauti.
 
Your STUPIDITY IS APPROVED.
huna unacho kijua mkuu acha kujitutumua, nikajua unakuja na ripoti ya daktari kuonesha hakuna sumu iliyo kutwa kwenye damu ya ruge

umekazana kwa hili mnamsingizia as if uko na bashite muda wote

leta ushaidi shekhe mambo ya kuambiwa yana uhakika gani?
 
Na sijaona ripoti ya doctors hata ndugu
 
Hiyo ni tuhuma kubwa sana,hizi habari kama huna hakika na ziache. Mimi naamini hawezi kufanya hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…