Ni kweli Makonda ana ' mapungufu ' yake ila kwa hili la ' Kuzushiwa ' kwa kinachomsibu sasa Ruge tunamuonea sana!

Tuanze hapa mkuu. Weka prof kuwa ruge kapewa sum na rc. Then tuendelee maana wrote mnazunguka tu@zipompa,
 
Makonda mimi nathubutu kusema nahusika 100%

Kitendo cha kuuza usingizi wa Ruge yaani Zamaradi tayari na yeye ni mhusika mkuu acha unafiki unalijua hilo........... Na mnaosema ni Ukimwi TOBAAA ina maana hata mama watoto wake yuko hapo hapo...........? ila naye ana roho ngumu bado akathubutu kuzaa tena Mungu nusuru kizazi hiki..........(Sina uhakika na wewe unaesema ukimwi.... siku hizi ukimwi matunzo tuu)
 
Tuanze hapa mkuu. Weka prof kuwa ruge kapewa sum na rc. Then tuendelee maana wrote mnazunguka tu@zipompa,
mkuu izi ni tuhuma nami nimezisikia kama ambavyo wewe umezisikia yawezekana zimetoka kwenye chanzo cha karibu na watu hao.

baada ya ugonjwa wa bwana ruge watu wakaunganisha dot. yawezekana tuhuma ni za kweli

mtoa bandiko/bashite walitakiwa watoe ushaidi wa uhakika kwamba hizi tuhuma si kweli ( kwa ripoti ya daktari ama uchunguzi wa damu)

sio kutwambia tu nimeambiwa na mtu wa karibu
 
kuna tetesi Bashite anawashikilia watangazaji wa Ruge..
 
Hapo sawa, maana nilipoona unasema"unamtetea bashite as if uko nae kila siku" nikajua una proof.
Nimekuelewa mkuu
 
Kwa maelezo haya we jamaa ni jinga kwelikweli,

binafsi nilijua utakuja na ushahidi usio shaka kwamba bashite anahusika?

-mkuu em nambie kwanini nisikuite fala!
 
Jamani mnauhakika gani? Ukimwi siku hizi siyo ugonjwa ni kufuata masharti tu, huyo Ruge tatizo itakuwa hiyo figo au sumu kawa walimwengu wasemavyo
Kuna mahali ARV zinadunda,tena huyo anao ule UKIMWI wa zamani,hivi unamfahamu yule kocha wa Yanga marehemu Mziray alikuwa na UKIMWI dawa zilipoamua kudunda zikadunda na leo ni Marehemu.Ruge nae vilevile dawa zimefikia mwisho wake hakuna cha sumu wala nini.
 
Kwa maelezo haya we jamaa ni jinga kwelikweli,

binafsi nilijua utakuja na ushahidi usio shaka kwamba bashite anahusika?

-mkuu em nambie kwanini nisikuite fala!
hahahahaa niite mkuu wala usijali

unataka mimi nikupe ushaidia upi zaidi ya kuona hali ya ruge ikizolota baada ya kuwa na bifu na bashite

aliye toa uhakika wa bob wine kulishwa sumu ni nani? baada ya kuwepo shutuma (kama izi)

yaani wewe huna tofauti na wale makatibu wa wizara walio muita kafulila tumbili (wewe unaita fala) bàada ya kuibua shutuma

lisemwalo lipo mkuu, afya ya ruge pia inazungumza
 
Namuogopa sana Mwenyezi Mungu / Allah hivyo sipendi kabisa ama ' Kumzushia ' au ' Kumsingizia ' Binadamu mwenzangu kwa lolote lile. Kwa hili tunamuonea na tunamsingizia sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Tumuogopeni Mola!
Mkuu una uhakika kuwa Ruge kweli anasumbuliwa na figo na hamna kitu kingine?
Je unahakika kuwa hata kama alikuwa akiugua figo hapo kabla ya Paul kuwa RC Dar, kwamba pengine hakuna kitu cha ziada kiliingia mwilini mwake then ndio kikaamsha maumivu yake ya figo?
....Zaidi ungetuwekea ushahidi wa kitabibu kwa hayo unayosema zaidi ya kuandika "unasikia" kama ambavyo huyo anayesema Ruge alipewa sumu anavyosema "kasikia"!
 

Sawa Mkuu! NIMETUBU
 

Kuna Watu ' mishipa ' ya ' Kuogopa ' au ' Kuficha ' mambo naona Mwenyezi Mungu ' hakuwabariki ' nayo tokea anawaumba.

Shikamoo Mkuu!
 
Kuna picha ya gari Daudi alipost na kusema kuna mlevi gari yake imekwama siku ya nne aje aichukue,tafsiri yake imepatikana,gari siku ya NNE ni kina soudy wapo ndani siku ya NNE,mlevi asiejiweza ni Ruge,bado jamaa watu wasi muhisi tu?
 
Kuna picha ya gari Daudi alipost na kusema kuna mlevi gari yake imekwama siku ya nne aje aichukue,tafsiri yake imepatikana,gari siku ya NNE ni kina soudy wapo ndani siku ya NNE,mlevi asiejiweza ni Ruge,bado jamaa watu wasi muhisi tu?

Ulichokiandika hapa kina ' Uhusiano ' gani na hisia za kumuwekea ' Sumu ' Ruge Mutahaba? Tuache Uswahili, Chuki na Uzushi.
 
Uko sawa
 
Kwa hili tunamuonea na tunamsingizia sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Tumuogopeni Mola!
Mkuu GENTAMYCINE umeongea vizuri sana;
Kila mtu ana mambo yake ya siri, ambayo hapendi yafahamike kwenye jamii; Hivyo hata suala hilo linawezekana au Likawa ni uongo, hivyo i vyema wakati unatiririka ukaonyesha hauko upande wowote; As long as Makonda sio Mungu anaweza kuteleza kwenye hilo;
 
Hapa ulipaniki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…