Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Jamani ndugu zangu naomba mtu anieleweshe MANIFESTION INAHUSISHA NINI? Na je inaweza kunisaidia kupata ninachotaka maishani mwangu? Mfano nataka kazi au pesa au maisha mazuri nawezaje kupata kwa njia ya kumanifest?
Naomba kuelekezwa njia za kumanifest : unafumba macho au unafanyaje? Kuna mdada huwa post zake anasema kwamba kama unataka kitu kwenye maisha ako Manifest na utakipata na mara nyingi huwa anapost 11:11 namba hii manaake nini? I tried kuuliza ila sijibiwi