Ni kweli mapenzi hayana umri?

Ni kweli mapenzi hayana umri?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Mzee Canal Metili (78) akikata keki na mkewe (27) tarehe 08/01/2022 Nyumbani kwake llboru-Arusha

Hii ni kama Mzee Wangu Anatafuta Kifo Mapema Huyu.

Huyu Mzee Yuko Kwenye hostile environment [emoji3][emoji3][emoji3].

Yakishampata asije akaja na Law of the jungle survival for the fittest.

Akiweza kuhimili mikiki ya Huyo Binti basi ata delivery zitaonekana kwa naked eyes.

Screenshot_20220112-175220.jpg
 
Kwel hayana umri inategemea kipaumbele chenu cha kuanzisha mahusiano hasa ni nini
 
Hahaha. Isijekuwa vice versa...!
Nahisi watoa comment wengi hawajafikisha huo umri na pia jamii imekariri na ku-generalize haya mambo. Je kuna uhakika gani kwamba kila mwenye umri wa 70+ tayari performance yake imeshuka?
Nakumbuka kusoma kitabu fulani cha mafundisho ya kikristo ambacho kiliangazia afya ya ngono na namna ya kubaki na ubora wako katika umri mkubwa hasa kwa jinsia ya kiume. Ngoja nikikipata kwenye library yangu ipo siku nita-share.

Jambo jingine kwenye sayari yetu hii, kwa namna maisha yalivyo boreshwa kwa karne hii, wanasayansi wamerejelea vigezo vya kimataifa vya makundi rika mbalimbali ambapo middle age - kwa sasa inaenda hadi miaka 75(need to check this) yaani huyo bado anakuwa ni mtu wa makamo kama ilivyokuwa umri wa 40-55 hapo zamani. Uzee unaanza 80 huko😉
 
Hakuna kitu hapo.

Hao wawili wana malengo tofauti kabisa. Wakati baba akidhani atamalizia vizuri (raha mustarehe) kwa kubeba mrembo , mwenziye anawaza mirathi wala si raha ya ndoa. Mifano ipo mingi
 
Uyo mzee yawezekana akafia kwenye kifua cha uyo mrembo mana matatizo anatafuta mwenyewe
 
Back
Top Bottom