Ni kweli mapenzi hayana umri?

Ni kweli mapenzi hayana umri?

Wakuu maisha ni kuchagua....

Acha binti akale maisha
 
Upeo wangu wa kuona mbali; kanali wetu mpendwa ana miezi mitatu ya kufurahia tunda

Very soon atasomeshwa namba. MWAKA HAUSHI
 
WakuuMzee Canal Metili (78) akikata keki na mkewe (27) tarehe 08/01/2022 Nyumbani kwake llboru-Arusha
.
Hii ni kama Mzee Wangu Anatafuta Kifo Mapema Huyu.
.
Huyu Mzee Yuko Kwenye hostile environment [emoji3][emoji3][emoji3].
.
Yakishampata asije akaja na Law of the jungle survival for the fittest.
.
Akiweza kuhimili mikiki ya Huyo Binti basi ata delivery zitaonekana kwa naked eyes.View attachment 2078428

Sent using Jamii Forums mobile app

Je Kilimo Kwanza tayari, au ni biashara ya mbuzi kwenye gunia?
 
Huo umri tofauti yake ni kubwa mno!Sidhani kama kweli huyo mwanamke ana upendo wa kweli.Sidhani.
 
WakuuMzee Canal Metili (78) akikata keki na mkewe (27) tarehe 08/01/2022 Nyumbani kwake llboru-Arusha
.
Hii ni kama Mzee Wangu Anatafuta Kifo Mapema Huyu.
.
Huyu Mzee Yuko Kwenye hostile environment [emoji3][emoji3][emoji3].
.
Yakishampata asije akaja na Law of the jungle survival for the fittest.
.
Akiweza kuhimili mikiki ya Huyo Binti basi ata delivery zitaonekana kwa naked eyes.View attachment 2078428

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamtaki mzee afurahie siku za mwisho mwisho
 
jiji la Arusha lina wazee wanye tabia wanazozijua wenyewe
 
Hakuna kitu hapo.

Hao wawili wana malengo tofauti kabisa. Wakati baba akidhani atamalizia vizuri (raha mustarehe) kwa kubeba mrembo , mwenziye anawaza mirathi wala si raha ya ndoa. Mifano ipo mingi
Mfano hai ni ule wa Marehemu Reginard Mengi.

Tumeona baada ya Kifo cha Mengi - Bi mdogo anapambania mali Mahakamani.
 
Back
Top Bottom