Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Dada kaenda kuchukua pension yake Hapo [emoji3][emoji3][emoji3]muache mzee atibiwe presha na sukari hapo....
Hakai bure hapo....ana uhakika na maisha, huyo sio mwenzetu tena
Hahaha. Isijekuwa vice versa...!muache mzee atibiwe presha na sukari hapo....
Nahisi watoa comment wengi hawajafikisha huo umri na pia jamii imekariri na ku-generalize haya mambo. Je kuna uhakika gani kwamba kila mwenye umri wa 70+ tayari performance yake imeshuka?Hahaha. Isijekuwa vice versa...!
HahahahaaaaaaaaahahaaaSaaa kama kukata keki tu ameuma mdomo hivyo, je akiwa kwenye kiuno cha huyo dem atakuweje?
Hakuna kitu hapo.Nahisi watoa comment wengi hawajafikisha huo umri na pia jamii imekariri na ku-generalize haya mambo. Je kuna uhakika gani kwamba kila mwenye umri wa 70+ tayari performance yake imeshuka?
Nakumbuka kusoma kitabu fulani cha mafundisho ya kikristo ambacho kiliangazia afya ya ngono na namna ya kubaki na ubora wako katika umri mkubwa hasa kwa jinsia ya kiume. Ngoja nikikipata kwenye library yangu ipo siku nita-share.
Jambo jingine kwenye sayari yetu hii, kwa namna maisha yalivyo boreshwa kwa karne hii, wanasayansi wamerejelea vigezo vya kimataifa vya makundi rika mbalimbali ambapo middle age - kwa sasa inaenda hadi miaka 75(need to check this) yaani huyo bado anakuwa ni mtu wa makamo kama ilivyokuwa umri wa 40-55 hapo zamani. Uzee unaanza 80 huko😉
Vijana wa hovyohovyo na sisi tumepindua meza ni mwendo wa kula mbususu za watu wazima.muache mzee atibiwe presha na sukari hapo....
Hakuna kitu kama hicho wazee wengi pressure +sukari mashine kusimama inshuKuna wazee wako vizuri kwenye 6x6 kuliko vijana
Kuna show za wazee kali kuliko vijana.Uliza wadadaHakuna kitu kama hicho wazee wengi pressure +sukari mashine kusimama inshu