Ni kweli mapenzi hayana umri?

Wakuu maisha ni kuchagua....

Acha binti akale maisha
 
Upeo wangu wa kuona mbali; kanali wetu mpendwa ana miezi mitatu ya kufurahia tunda

Very soon atasomeshwa namba. MWAKA HAUSHI
 

Je Kilimo Kwanza tayari, au ni biashara ya mbuzi kwenye gunia?
 
Huo umri tofauti yake ni kubwa mno!Sidhani kama kweli huyo mwanamke ana upendo wa kweli.Sidhani.
 
Hamtaki mzee afurahie siku za mwisho mwisho
 
jiji la Arusha lina wazee wanye tabia wanazozijua wenyewe
 
Hakuna kitu hapo.

Hao wawili wana malengo tofauti kabisa. Wakati baba akidhani atamalizia vizuri (raha mustarehe) kwa kubeba mrembo , mwenziye anawaza mirathi wala si raha ya ndoa. Mifano ipo mingi
Mfano hai ni ule wa Marehemu Reginard Mengi.

Tumeona baada ya Kifo cha Mengi - Bi mdogo anapambania mali Mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…