NI kweli mapenzi ya mbali hayadumu?

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
kwangu naona yanadumu bt wengi wanasema hayadumu je,ni kweli?
 
yanadumu baana,.....kwani mpenzi wako yuko mbali?....relax yanadumu
 
Haha..please don't then..
kama kutakuja kuwa na wakati ambapo ninyi wawili mtakuwa pamoja then you can start .
Hapa naongelea kama yupo chuo mbali ndo mnataka kuanzisha mahusiano.
Ni afadhali msubiri mpaka wakati mtakapokuwa pamoja wote ndo muanze..meanwhile you can just be friends! no promises! no ties!
Its hectic nakuambia.

Ila,
kama mtu mmefahamiana na you have been ina relationship for some time (and you trust each other), then hakuna haja
ya kuvunja mahusiano yenu just for distance's sake.
Wanasema,
"Distance makes the heart grow fonder." - Unknown
 
yanadumu ... i have been there na yana ladha flani tamu sana.... yanahitaji uvumilivu na kusikilizana!

Yap mkuu naungana na ww mapenzi ya mbali yanahitaji uvumilivu sana cause mm ni muathirika wa hilo but namuheshimu mpenzi wangu tunasikilizana na kuvumiliana kwani tuna mipango ya muda mrefu na dhamira ya dhati ya kuishi pamoja hapo baadae.Kwa hiyo mkiwa na dhamira ya dhati uvumilivu YATADUMU TU!
 
yanadumu ... i have been there na yana ladha flani tamu sana.... yanahitaji uvumilivu na kusikilizana!

Nakuunga mkono hapo kwenye rangi, ni kweli kabisa.
 
yanadumu ... i have been there na yana ladha flani tamu sana.... yanahitaji uvumilivu na kusikilizana!
Basi mi nitakuwa na bahati mbaya, nime fail 2 distance relationships, I felt horrible na yanatesa. now nimeamua niwe kama widower maana sio single.
au nianze kutumia ile naniii(babu ataka kusema umenielewa)
 
Reactions: BAK

Bubu bhanaaaa! na siyo babu lol! we tumia tu RUKHSA 🙂 hahahahah lol! Yanatesa sana na pia yanataka uvumilivu wa hali ya juu vinginevyo penzi halitadumu.
 
Bubu bhanaaaa! na siyo babu lol! we tumia tu RUKHSA 🙂 hahahahah lol! Yanatesa sana na pia yanataka uvumilivu wa hali ya juu vinginevyo penzi halitadumu.
nionavyo distance sio tatizo kama wote wawili mtafahamu responsibilities zenu, mke yupo dar mume arusha mnawezaje kukaa two month hamjaonana na potential za kuwawezesha kuonana zipo? Hii ni weakness na inaonyesha kuna kasoro katika mapenzi. Sometimes distance inakuonyesha kama kweli kuna penzi la dhati kati yenu. Inapotokea mmoja wenu amegundua tatizo basi hapo mapenzi yatavurugika na utaona distance ndo imeleta ugomvi kumbe tatzo lipo kwenu wapenzi. I have been in this, so this is through my experience.
 
Yanaweza yakadumu ila cheating yake sasa wee......!! Most of people ambao wapo kwenye long distance relationship huwa wanashindwa kuvumilia/kucontrol hisia zao za kimwili na wengi wao hujikuta wanacheat. So, yanahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana. Ikiwa mnapendana na mna nia ya dhati, basi mtavumiliana na mtatimiza malengo yenu ila cha muhimu mnachotakiwa kukilinda katika uhusiano wenu ni mawasiliano, ofcourse mkizembea hapo tu mmekwisha!! Endapo kila mmoja wenu atatambua kuwa mahusiano yanadumishwa na "mapenzi ya dhati toka moyoni" na sio sex, basi hiyo itakuwa silaha yenu.
 
Wakuu fimbo ya mbali haiui nyoka, mbona mnataka kuwadharau wahenga wetu?
 
Kama mawasiliano ni utata ni rahisi kufa. Mpenzi wako yupo mbalii eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…