Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yanadumu kvp?kwani uko alipo anatimiziwa na nani?
kwangu naona yanadumu bt wengi wanasema hayadumu je,ni kweli?
kumbe jibu unalo.. byeyanadumu kvp?kwani uko alipo anatimiziwa na nani?
kwangu naona yanadumu bt wengi wanasema hayadumu je,ni kweli?
yanadumu ... i have been there na yana ladha flani tamu sana.... yanahitaji uvumilivu na kusikilizana!
yanadumu ... i have been there na yana ladha flani tamu sana.... yanahitaji uvumilivu na kusikilizana!
Basi mi nitakuwa na bahati mbaya, nime fail 2 distance relationships, I felt horrible na yanatesa. now nimeamua niwe kama widower maana sio single.

au nianze kutumia ile naniii(babu ataka kusema umenielewa)
nionavyo distance sio tatizo kama wote wawili mtafahamu responsibilities zenu, mke yupo dar mume arusha mnawezaje kukaa two month hamjaonana na potential za kuwawezesha kuonana zipo? Hii ni weakness na inaonyesha kuna kasoro katika mapenzi. Sometimes distance inakuonyesha kama kweli kuna penzi la dhati kati yenu. Inapotokea mmoja wenu amegundua tatizo basi hapo mapenzi yatavurugika na utaona distance ndo imeleta ugomvi kumbe tatzo lipo kwenu wapenzi. I have been in this, so this is through my experience.Bubu bhanaaaa! na siyo babu lol! we tumia tu RUKHSA 🙂 hahahahah lol! Yanatesa sana na pia yanataka uvumilivu wa hali ya juu vinginevyo penzi halitadumu.