Ni kweli matokeo ya mitihani NACTEVET yametumwa kwenye vyuo?

Ni kweli matokeo ya mitihani NACTEVET yametumwa kwenye vyuo?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kuna kijana kasema amepata matokeo yake ya mitihani kupitia chuoni kwake. Je hii ni kweli kuwa mitihani imeshatumwa kwenye vyuo?

Tujuzane!
 
Kuna kijana kasema amepata matokeo yake ya mitihani kupitia chuoni kwake. Je hii ni kweli kuwa mitihani imeshatumwa kwenye vyuo?
Tujuzane!
Mkuu huyo Mwanao anafanya Kazi gani naona unafatilia update huku yeye akila Bata tu tena Ni KE!
 
Mfundishe kufatilia Mambo yake na kuwa update sio kila kitu wewe Mzazi. Unafatilia hata Mambo madogo Kama matokeo kuwa makini.!
Unajuaje kuwa mimi siyo mwanafunzi? Do you know why I am taking all this trouble? Usiseme mambo kama hukwenda shule. Unanifundisha cha kufanya? Jibu hoja kama huna just skip the thread! Sijapenda hata kidogo
 
Tayari wametuma kuna mdogo wangu anasoma bumbuli cotc nimemuuliza anasema tayari
 
Tayari wametuma kuna mdogo wangu anasoma bumbuli cotc nimemuuliza anasema tayari
True and confirmed! asante. Kulikuwa na hii tabia ya kulipa ada kabla ya matokeo wakati mtu kadisco na hela hairudi. Kama unajali lazima hili likusumbue maana huwezi ku guarantee kuwa ata pass
 
Back
Top Bottom