maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani kwa ushahidi wa vigezo vifuatavyo,unaweza kuondoa siraha muhimu katikati ya vita?na hii vita Mmarekani anaenda kupoteza na ndiyo utakuwa mwisho wa Israer na Marekani maana Komeni Mwenyewe Vijana wake walimuomba watengeneze makombora yanayokwenda umbali wa kilomita alfu 12 akawakatalia lakini term hii kituo kinachofuata ni ndani ya Marekani