maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Unajitekenya na kucheka mwenyewe..Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani kwa ushahidi wa vigezo vifuatavyo,unaweza kuondoa siraha muhimu katikati ya vita?na hii vita Mmarekani anaenda kupoteza na ndiyo utakuwa mwisho wa Israer na Marekani maana Komeni Mwenyewe Vijana wake walimuomba watengeneze makombora yanayokwenda umbali wa kilomita alfu 12 akawakatalia lakini term hii kituo kinachofuata ni ndani ya Marekani
Hivi unaweza kuondoa silaha muhimu katikati ya mapambano?gaidi ni yule anayelinda inchi yake baada ya kuuliwa viongozi wake na watoto wa shule au yule aliyewauwa?Unajitekenya na kucheka mwenyewe..
Una vembewa na daku muda huu una Anza ku BANJUKA TU.
Magaidii lazima mlambishwe 👽 udongo..
Kiakili milokole ni mzigo kwa Taifa. Yapo yapo tu kwakuwa nayao yapo lkn kichwani O.Hivi unaweza kuondoa silaha muhimu katikati ya mapambano?gaidi ni yule anayelinda inchi yake baada ya kuuliwa viongozi wake na watoto wa shule au yule aliyewauwa?
Dini zote mbili zipo kwenye mwezi wa mfungo(kwaresma na ramadhani) lakini wakubwa wa hizo dini (Israel na waajemi) wapi busy kumwagana ubongo,wenye kuzipokea hizo dini mpo busy kujidhoofisha kwa kujinyima chakula na kudharaulianaKiakili milokole ni mzigo kwa Taifa. Yapo yapo tu kwakuwa nayao yapo lkn kichwani O.
Wanafanya Zoezi La Kushinda Njaa....Dini zote mbili zipo kwenye mwezi wa mfungo(kwaresma na ramadhani) lakini wakubwa wa hizo dini (Israel na waajemi) wapi busy kumwagana ubongo,wenye kuzipokea hizo dini mpo busy kujidhoofisha kwa kujinyima chakula na kudharauliana
Amri ya kufunga inatoka kwa Mwenyezi Mungu,na ilikuwepo kabla yetu hata waliotutangulia walifunga mfano Musa na IbrahimuWanafanya Zoezi La Kushinda Njaa....
Wafungao Ni Wachache Mnoo...Wengi Wao Wanashinda Na Njaa Tu....Amri ya kufunga inatoka kwa Mwenyezi Mungu,na ilikuwepo kabla yetu hata waliotutangulia walifunga mfano Musa na Ibrahimu
Ulikuwepo?Amri ya kufunga inatoka kwa Mwenyezi Mungu,na ilikuwepo kabla yetu hata waliotutangulia walifunga mfano Musa na Ibrahimu
Acheni wenye akili timamu waipukutushe sadaka haya majamaa,maana hayajielewi.Sasa kwa akili yako utashindwa kununua Chupi,maji,chumvi kwa wachungaji wenye akili🤣😅😃Unajitekenya na kucheka mwenyewe..
Una vembewa na daku muda huu una Anza ku BANJUKA TU.
Magaidii lazima mlambishwe 👽 udongo..