Umempa mimba mwanafunzi??Wakuu, huwa nasikia hii issue ya mimba kutolewa, aidha kwa kienyeji ama kitaalamu....
Naomba mwenye kujua anifungue akili, mimba ya wiki3 hadi mwezi mmoja inaweza kutolewa kwa njia gani na zoezi likaenda vizuri bila kuwepo na complications zozote?
Nidadavulieni, naogopa kwenda kuishi kwenye nyumba za serekale.
Kwa sheria za Tz haziruhusu kutoa mimba ila ni pale tu inakapothibitika na jopo la madaktari wasio pungua watatu ya kuwa mimba hiyo itahatarisha uhai wa huyo mama bas mama baada ya kuelezwa na kukubali atasaini fomu maalum kisha hiyo mimba itatolewaHabari zenu wakuu