Ni kweli mimba hutolewa?

Ni kweli mimba hutolewa?

Si muumini wa kutoa mimba lakini kama kuna matatizo ya ki afya ambayo yanahatarisha maisha ya mama, wataalamu wanashauri wiki 12 ndiyo muda mzuri kutolewa hospitali.
 
Wakuu, huwa nasikia hii issue ya mimba kutolewa, aidha kwa kienyeji ama kitaalamu....

Naomba mwenye kujua anifungue akili, mimba ya wiki3 hadi mwezi mmoja inaweza kutolewa kwa njia gani na zoezi likaenda vizuri bila kuwepo na complications zozote?

Nidadavulieni, naogopa kwenda kuishi kwenye nyumba za serekale.
Umempa mimba mwanafunzi??
 
Yani mpaka hapa umeshajiExpose kwamba unania Ovu ya kufanya kitendo kiovu cha KUUA kiumbe kisicho na hatia!! Acha hayo mawazo mkuu...
Note:fake id haisaidii
 
Habari zenu wakuu
Kwa sheria za Tz haziruhusu kutoa mimba ila ni pale tu inakapothibitika na jopo la madaktari wasio pungua watatu ya kuwa mimba hiyo itahatarisha uhai wa huyo mama bas mama baada ya kuelezwa na kukubali atasaini fomu maalum kisha hiyo mimba itatolewa
 
Back
Top Bottom