ni kweli mimba ni kipimo cha mapenzi ndani ya ndoa?

ni kweli mimba ni kipimo cha mapenzi ndani ya ndoa?

mungu aniepushe na mawifi,nataka mume wangu mtarajiwa kwao awe amezaliwa peke yake au madume tupu lol
<br />
<br />
kila la kheri mdada natumai mungu atasikia sala zako kilichopo ucpende kutoa mambo yenu ya ndani hata kwa hao shemejio!
 
U beter take her to counsellor.atamshauri vzr na atatulia.nadhan ana tatizo la kisaikolojia.pia afanye followup ni kwa nini znatoka,i.e aonane na wataalam.ktk kuta2a hli ni bora mumshirikishe na kaka yenu.inawezekana kaka yenu ana mpa presure ya mtoto bt nyinyi hamjui.kama ushauri haujakufaa,UPOTEZEE!
<br />
<br />
i promise ntalifanyia kazi.thanx much
 
Back
Top Bottom