Mshahara wa kada ipi?mshahara was mwezi huu kwa watumishi was serikali na hadi tarehe ,3/8/2026 taarifa hizi nimezipata toka kwa afisa utumishi wa halmashauri niliyopo
Dah.... Yaani miaka 10 ijayo ndiyo ilipwe!! [emoji15] [emoji15] [emoji15]mshahara was mwezi huu kwa watumishi was serikali na hadi tarehe ,3/8/2026 taarifa hizi nimezipata toka kwa afisa utumishi wa halmashauri niliyopo
Duuuuh Mwalimu umetisha sana.Watu wabishi nimecheki hapa naona pesa imejaa kwenye akaunti.
Kapotea huyu watu tumeanza kutumia tayari.Dah.... Yaani miaka 10 ijayo ndiyo ilipwe!! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapana ni daraja EDuuuuh Mwalimu umetisha sana.
Mshahara umejaa???
Leo ndo mara ya kwanza kusikia hii kauli.
Nahisi wewe umemaliza madaraja yote ya mishahara ya walimu mpaka umefikia Z/10
Ongezeko ni Tsh5,000 tu mkuu.Kuna ongezeko lolote wakuu ama ni kama zamani
Hamna ongezeko mkuuKuna ongezeko lolote wakuu ama ni kama zamani