Tetesi: Ni kweli mishahara itachelewa mwezi huu?

Tetesi: Ni kweli mishahara itachelewa mwezi huu?

mshahara was mwezi huu kwa watumishi was serikali na hadi tarehe ,3/8/2026 taarifa hizi nimezipata toka kwa afisa utumishi wa halmashauri niliyopo
Mshahara wa kada ipi?
Mbona mimi tayari mshahara umeingia saa kumi leo.
 
mshahara was mwezi huu kwa watumishi was serikali na hadi tarehe ,3/8/2026 taarifa hizi nimezipata toka kwa afisa utumishi wa halmashauri niliyopo
Dah.... Yaani miaka 10 ijayo ndiyo ilipwe!! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Duuuuh Mwalimu umetisha sana.
Mshahara umejaa???

Leo ndo mara ya kwanza kusikia hii kauli.
Nahisi wewe umemaliza madaraja yote ya mishahara ya walimu mpaka umefikia Z/10
Hapana ni daraja E
Mimi mshahara unanitosha kwasababu natumia muda mwingi kufanya mambo yangu zaidi,hivyo pesa haipungui inajaa.
 
Daaa!hakiki ujumbe wako kabla hujaweka humu maana hamna vilaza wa kuburuzwa humu aiseee
 
Naona foleni hapa NMB bank bila shaka watakuwa ni walimu......
 
Vipi na kuhusu mishahara ya maafande imetoka? Mtujuze jamani
 
Back
Top Bottom