Ni kweli Mkoa wa Lindi wanatoa mashamba ya kupanda mikorosho?

Ni kweli Mkoa wa Lindi wanatoa mashamba ya kupanda mikorosho?

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari za humu ndani,

Juzi kuna jamaa mmoja alinipigia simu na kuniuliza kama ninataka shamba la kupanda mikorosho Lindi kwa bei ya Tsh 20000/=

Mimi nikamwambia yes but sikumwamini.

Je ni kweli Manispaa ya Lindi wanagawa mashamba kwa ajili ya kupanda mikorosho, mwenye taarifa sahihi naomba uzimwage hapa ili tukamatie fursa.
 
Si kweli. Mimi ni mwenyeji wa huko. Pia anaposema Lindi hajasema wilaya gani kwa hiyo si kweli,na hiyo 20000 ni eneo ukubwa gani. Maeneo yapo ila sio kwa staili hiyo. Ukienda kwa nia utapata maeneo utapanda korosho. Karibu sana
 
Back
Top Bottom