Habari za humu ndani,
Juzi kuna jamaa mmoja alinipigia simu na kuniuliza kama ninataka shamba la kupanda mikorosho Lindi kwa bei ya Tsh 20000/=
Mimi nikamwambia yes but sikumwamini.
Je ni kweli Manispaa ya Lindi wanagawa mashamba kwa ajili ya kupanda mikorosho, mwenye taarifa sahihi naomba uzimwage hapa ili tukamatie fursa.