Ni kweli mtoto akitahiriwa na umri mdogo uume utakuwa mdogo?

baiser

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,480
Reaction score
2,239
Ndugu wana jf nataka kujuzwa kuhusu uvumi uliopo kuwa mtoto akifanyiwa tohara umri mdogo basi uume wake huwa unakuwa mdogo ukiringanisha na atayefanya tohara akiwa mtu mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli

Sent from my Dell Laptop using Jamii Jorums mobile app
 
Kuna Kaukweli Hapo.
Namuita [HASHTAG]#Mzizimkavu[/HASHTAG].
 
Si kweli ukitaka kudhinitisha hayo waarabu wanatahiri kuanzia wiki mbili baada ya mtoto kuzaliwa lakini nyumba zao zinakwenda heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…