Msaada wako unahitajika [emoji23] kuna laiyoni hapa!!Vipi jirani,
Absolutely true!!Kuondoa ngozi ile ya juu hakuna uhusiano wowote na kukua kwa uume
Size ya uume hutegemea na vichocheo (hormones), kurithi (genetics), vyakula etc..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]Msaada wako unahitajika [emoji23] kuna laiyoni hapa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natamn kukumbana na mmoja wapo nione inakuwaje, as part of my research [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Kisu cha ngariba ndiye kakuambia. Eeh malaiyoni yapo mengi tu
Unajua maana yake lkn jirani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natamn kukumbana na mmoja wapo nione inakuwaje, as part of my research [emoji23][emoji23]
Mishipa ikikatwa, ina dumaa kadir inavyorefuka ndo inaongeza urefu wa dushe,Ndugu wana jf nataka kujuzwa kuhusu uvumi uliopo kuwa mtoto akifanyiwa tohara umri mdogo basi uume wake huwa unakuwa mdogo ukiringanisha na atayefanya tohara akiwa mtu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuondoa ngozi ile ya juu hakuna uhusiano wowote na kukua kwa uume
Size ya uume hutegemea na vichocheo (hormones), kurithi (genetics), vyakula etc..
Sent using Jamii Forums mobile app