Ni kweli mtoto akitahiriwa na umri mdogo uume utakuwa mdogo?

Ni kweli mtoto akitahiriwa na umri mdogo uume utakuwa mdogo?

[emoji3][emoji3]
Kisu cha ngariba ndiye kakuambia. Eeh malaiyoni yapo mengi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natamn kukumbana na mmoja wapo nione inakuwaje, as part of my research [emoji23][emoji23]
 
Ni kweli kabisa uume unapokatwa ukuaji wake hudumaa na kukua kwa taratibu sana
 
Nikweli hapa kuna mtoto walikafanyia ila mmmh sasa kakua niaka kama 6 ila yaan nikaduchuu sana

Hata watu wanasema mtoto huridhi kwa baba yake
 
Kuondoa ngozi ile ya juu hakuna uhusiano wowote na kukua kwa uume
Size ya uume hutegemea na vichocheo (hormones), kurithi (genetics), vyakula etc..

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo e.t.c uliyomalizia ni pamoja na kutahiri Mapema

Mishipa ya Uume kuanza kui disturb kabla ya kukomaa si vizuri kwa Afya ya Uzazi
 
Back
Top Bottom