Ni kweli muhadhiri wa Udom aliyekamatwa kapewa kesi ya ugaidi?

Joined
Jul 15, 2026
Posts
64
Reaction score
187
Nimeumia sana kusoma hii habari ya Mwalimu Melkisedeki Kitunzi Kaijage ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi wa chuo kikuu UDOM. Kaijage anafundisha somo liitwalo Government and Politics in Tanzania (PO 123) ambalo linahusu serikali na siasa za Tanzania kuanzia uhuru hadi sasa. Kupitia somo hilo hujadili pia masuala ya kisiasa yanayoendelea kwa nchini (Current Political Affairs).

Soma Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

Lakini somo hilo limemfanya kuingia matatani mara kadhaa. Mara ya kwanza alikamatwa kwa kudaiwa kuhamasisha maandamano ya Oktoba 29 akiwa darasani. Hata hivyo baadaye aliachiwa. Sasa majuzi amekamatwa tena kwa kudaiwa kuhamasisha tena maandamano ya Julai 7 kupitia mihadhara yake. Tangu tarehe 08 Julai yupo rumande.

Leo mawakili wake wametoa taarifa eti anashtakiwa kwa ugaidi. Ugaidi how? Yaani ugaidi unafanyika kwa kutoa lecture darasani? Hivi tunauchukuliaje ugaidi? Mbona tuna hamu nao sana? Hata vitu vya kijinga tunaviita ugaidi? Yani gaidi hana hata gobore? Hivi magaidi halisi tunawajua? Kama kutoa mhadhara darasani ni ugaidi, je Al-Shabaab, Al-Qaeda, Boko Haram tuwaiteje?

Halafu tumefikaje hapa kama taifa? Inauma sana. Kama hadi wahadhiri wa vyuo vikuu hawana uhuru wa kuongea, nani yuko huru? Media zimeshaufyata, viongozi wa dini wengi wameufya, isipokua TEC na viongozi wengine wachache. Vyama vya siasa vimeufyata isopokua Chadema. Sasa mwananchi atasemewa na nani kama hadi Wahadhiri wanatishwa?

Uhuru wa kufundisha vyuoni uko wapi kwa hali hii? Tunatengeneza vipi wasomi wenye fikra tunduizi kama wahadhiri wanapewa kesi za ugaidi? Kama serikali haitaki siasa darasani si ifute tu hilo somo au badilisheni mtaala muunde somo la kusifia. Bachelor of Arts in Uchawa and Kujipendekeza. Mjaze mabumunda ya UVCCM huko darasani.

Wote mliohusika kumkamata Mwalimu Kaijage, kumfungulia mashtaka, kumnyanyasa huku mkijua hana hatia, Mungu akawatendee sawasawa na neno lake katika Kumbukumbu la Torati 28:16-20. Na watu wote tuseme Amen 🙏🏽
 
Walimu na wanafunzi wanazid kudakwa...
Ikibid masomo ya Uraia yote yafutwe tu, History na kila kitu, tubaki na arts na science... Ili kupunguza migogoro ya wenyew kwa wenyew nchini...

Huenda serikali ipo sawa, ila mambo ya ugaidi mm hayanihusu... Nachojari unga unga upo ndani nakula nalala basi
 
Nimeumia sana kusoma hii habari ya Mwalimu Melkisedeki Kitunzi Kaijage ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi wa chuo kikuu UDOM. Kaijage anafundisha somo liitwalo Government and Politics in Tanzania (PO 123) ambalo linahusu serikali na siasa za Tanzania kuanzia uhuru hadi sasa. Kupitia somo hilo hujadili pia masuala ya kisiasa yanayoendelea kwa nchini (Current Political Affairs).

Lakini somo hilo limemfanya kuingia matatani mara kadhaa. Mara ya kwanza alikamatwa kwa kudaiwa kuhamasisha maandamano ya Oktoba 29 akiwa darasani. Hata hivyo baadaye aliachiwa. Sasa majuzi amekamatwa tena kwa kudaiwa kuhamasisha tena maandamano ya Julai 7 kupitia mihadhara yake. Tangu tarehe 08 Julai yupo rumande.

Leo mawakili wake wametoa taarifa eti anashtakiwa kwa ugaidi. Ugaidi how? Yaani ugaidi unafanyika kwa kutoa lecture darasani? Hivi tunauchukuliaje ugaidi? Mbona tuna hamu nao sana? Hata vitu vya kijinga tunaviita ugaidi? Yani gaidi hana hata gobore? Hivi magaidi halisi tunawajua? Kama kutoa mhadhara darasani ni ugaidi, je Al-Shabaab, Al-Qaeda, Boko Haram tuwaiteje?

Halafu tumefikaje hapa kama taifa? Inauma sana. Kama hadi wahadhiri wa vyuo vikuu hawana uhuru wa kuongea, nani yuko huru? Media zimeshaufyata, viongozi wa dini wengi wameufya, isipokua TEC na viongozi wengine wachache. Vyama vya siasa vimeufyata isopokua Chadema. Sasa mwananchi atasemewa na nani kama hadi Wahadhiri wanatishwa?

Uhuru wa kufundisha vyuoni uko wapi kwa hali hii? Tunatengeneza vipi wasomi wenye fikra tunduizi kama wahadhiri wanapewa kesi za ugaidi? Kama serikali haitaki siasa darasani si ifute tu hilo somo au badilisheni mtaala muunde somo la kusifia. Bachelor of Arts in Uchawa and Kujipendekeza. Mjaze mabumunda ya UVCCM huko darasani.

Wote mliohusika kumkamata Mwalimu Kaijage, kumfungulia mashtaka, kumnyanyasa huku mkijua hana hatia, Mungu akawatendee sawasawa na neno lake katika Kumbukumbu la Torati 28:16-20. Na watu wote tuseme Amen 🙏🏽

Itakuwa amekutwa na ushahidi kadhaa kwenye simu yake.

Kuanzia tar 4 hadi 6 July walikamatwa watu wengi sana hasa Arusha, Dodoma na Mwanza.
tena usiku wa Manane. Na maaskar wenye Bunduki.

Polisi walikagua simu zao. Na kama wakikuta una sms za kuhamasisha maandamano ya 7 7 au picha za mauaji ya Octoba 29. Kesi unayo.
Ndio wanachukua hivyo vielelezo kama ushahidi wao.

Wakikuta umefuta sms au picha.
Wanakuachia na wanakumbia uwe unareport kila siku polisi.

Utauliza Wamejuaje? 😊😊😊😊.
Ofcoz TCRA walikagua kila sms na picha zenye KB au MB kubwa zinazotumwa via whatsapp kwa tarehe hizo . Na wakiona kuna video/picha umetuma ina viashiria vya matukio ya Octoba 29. Wanaanza kukupeleleza na wakiona umetuma mara 2 au 3 au kwa watu weng. Wanakutilia shaka.

Basi wanakufuata uliko usiku mnene kukubeba.
 
Mkuu hapo kenye whatsapp
WhatsApp wana end to end encryption kumaanisha informations are shared between two conversing sides without any third parties hata meta wenyewe.

Unamaanisha kwamba kwamba Whatsapp wanauza taarifa za wateja wao?
 
Whatsapp siyo ya kuaminika. End to end encryption ni changa la macho. Usijichanganye.
 
Itakuwa amekutwa na ushahidi kadhaa kwenye simu yake.

Kuanzia tar 4 hadi 6 July walikamatwa watu wengi sana hasa Arusha, Dodoma na Mwanza.
tena usiku wa Manane. Na maaskar wenye Bunduki.

Polisi walikagua simu zao. Na kama wakikuta una sms za kuhamasisha maandamano ya 7 7 au picha za mauaji ya Octoba 29. Kesi unayo.
Ndio wanachukua hivyo vielelezo kama ushahidi wao.

Wakikuta umefuta sms au picha.
Wanakuachia na wanakumbia uwe unareport kila siku polisi.

Utauliza Wamejuaje? 😊😊😊😊.
Ofcoz TCRA walikagua kila sms na picha zenye KB au MB kubwa zinazotumwa via whatsapp kwa tarehe hizo . Na wakiona kuna video/picha umetuma ina viashiria vya matukio ya Octoba 29. Wanaanza kukupeleleza na wakiona umetuma mara 2 au 3 au kwa watu weng. Wanakutilia shaka.

Basi wanakufuata uliko usiku mnene kukubeba.
Duh wengi watapata case ya ugaidi.
 
Amna mkuu czan kama wanaweza acces whatsap walikuwa wakikukamata wanakagua simu yako.
Wanaweza kuaccess mkuu.

kuna Robot imesetiwa . Ikipita picha au video au sms ndefu inatoa taarifa alaf maafisa wanaikagua.

Weng waliokamatwa wanakuwa ni kweli walituma picha au video au sms.

Mm uncle wangu mmoja walimdandia Arusha.
Tar 5. Ametoka tar 12.

na ni kweli amekutwa na hayo mavideo kwa simu yake.

Ndio katuambia alifuatwa na maaskar 12. Na maskar 6 wana bunduki.
 
Itakuwa amekutwa na ushahidi kadhaa kwenye simu yake.

Kuanzia tar 4 hadi 6 July walikamatwa watu wengi sana hasa Arusha, Dodoma na Mwanza.
tena usiku wa Manane. Na maaskar wenye Bunduki.

Polisi walikagua simu zao. Na kama wakikuta una sms za kuhamasisha maandamano ya 7 7 au picha za mauaji ya Octoba 29. Kesi unayo.
Ndio wanachukua hivyo vielelezo kama ushahidi wao.

Wakikuta umefuta sms au picha.
Wanakuachia na wanakumbia uwe unareport kila siku polisi.

Utauliza Wamejuaje? [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4].
Ofcoz TCRA walikagua kila sms na picha zenye KB au MB kubwa zinazotumwa via whatsapp kwa tarehe hizo . Na wakiona kuna video/picha umetuma ina viashiria vya matukio ya Octoba 29. Wanaanza kukupeleleza na wakiona umetuma mara 2 au 3 au kwa watu weng. Wanakutilia shaka.

Basi wanakufuata uliko usiku mnene kukubeba.

Huo ndo ugaidi?
 
Huo ndo ugaidi?
Kwa sheria za TZ.
Jambo lolote ambalo linania ya kusababisha madhara makubwa kwa nchi, kuwatisha wananchi, au kuvuruga miundo mbinu ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ni Ugaidi.

Mfano Ww hapo ukienda Kuchoma Soko unashtakiwa kwa Ugaidi.
Hata kama ni usiku na hakuna vifo. Ila ile kuharibu tu tayar sheria inasema ni ugaidi.

Hata uwe na ile nia ya kusema unaenda kuchoma soko. Labda Ukahamasisha watu na Majamaa wakakukuta na ushahidi (sms au vitendea kaz) na wakadhihirisha ile nia yako. Unakutwa na hatia na unahukumiwa kwa ugaidi.
 
Ruhusuni watu tuondoke tuwaachie nchi yenu
 
Back
Top Bottom