Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
"Mwanamke akikupa pesa yake wivu wake unaongezeka maradufu, na anataka uwe wake peke yake, yaani ni kusema achilia mbali kutaka kumiliki moyo wako lakini pia anataka na roho yako.
"Pesa ya mwanamke ina masimango sana, ukizoea kupewa pesa na mwanamke kubali kudharauliwa."