Ukimaliza kusoma, rudia kusoma.ukizoea kupewa pesa na mwanamke kubali kudharauliwa.
Boss siku hizi umepunguza kuripoti mambo mhimu na taarifa za msingi.View attachment 2943485
Mwanamke akikupa pesa yake wivu wake unaongezeka maradufu, na anataka uwe wake peke yake, yaani ni kusema achilia mbali kutaka kumiliki moyo wako lakini pia anataka na roho yako
Pesa ya mwanamke ina masimango sana, ukizoea kupewa pesa na mwanamke kubali kudharauliwa.
Sawa Mkuu.Boss siku hizi umepunguza kuripoti mambo mhimu na taarifa za msingi.
Hebu rudi kwenye fani yako ya kuleta matukio yanayojiri/yaliyojiri sehemu mbalimbali.
Haya ya udaku waachie akina Nifah na Hance Mtanashati
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππModerator Acha Shobo!
Title yangu uliyoifuta ipo vizuri kuliko Title Uchwara uliyoiandika wewe.
Kwani Moderators mna shida gani nyie viumbe? Aaargh