Ni kweli Mwanamke anaweza akakuletea nuksi?

Wakuu naomba kuelewa imekaaje unakuwa na mwanamke akawa nuksi unaweza kumtambuaje?
 
Mkuu salama nashukuru kwa ufafanuzi. Naomba kuuliza je huo mlango wa nane wa mwanamke utajuaje kama ni nuksi au sio nuksi au utafahamu baada ya kukutana naye matokeo ndo yanakupa majibu?
 
Hakuna kitu kama hicho.Ni imani tu na hila za binadamu dhidi ya binadamu wengine.Kama ambavyo maisha hayalingani ndivyo ambavyo pia siku hazilingani.na hakuna uhusiano au uthibitisho wa kitu kinachoitwa nuksi kwenye kujamiana.ni dhana za binadamu tu.
 
Wakuu naomba kuelewa imekaaje unakuwa na mwanamke akawa nuksi unaweza kumtambuaje?

This is a way of giving yourself an excuse when the going gets tough. You are in charge of your destination. Hata vitabu vitakatifu vinasema kila mtu ataenda mwenyewe mbele ya Mwenyezi Mungu. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa
 
Mimi siwezi kusema mlango wa nane upo au haupo. Ila hapa Kimara Temboni kulikua na barmaid mmoja mzuri tu. Aisee kila aliyetoka nae lazima mabaya yalimkuta. MADEREVA wa malori ya mchanga Ni mashahidi. Ukilala nae kesho tajiri anaomba ufunguo. Kama unafanya kwa wahindi ujue kibarua kwishne, Kama ulikua na dili la pesa ujue limeshaharibika. I don't know why lakini kila aliyejaribu yalimkuta.
Kwa wapare hua Wana avoidi Sana kuoa ukoo wa kina mshana. May be ni kwasababu ya uchawi maana Ile taaluma ya kushana walikua nayo wao tu na wakaihusisha na uchawi ili wengine wasijaribu kushana.
 
Kushana ni kufanyaje mkuu
 
Back
Top Bottom