Ni kweli mwanaume mwenye pumbu moja hana uwezo wa kuzalisha?

Ni kweli mwanaume mwenye pumbu moja hana uwezo wa kuzalisha?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
kuna jamaa yangu mmoja ana pumbu moja na mpaka sasa ana miaka 37 hana mtoto. Kila mwanamke anayekaa nae kama mke hazai. Akimwacha tu akikutana na wanaume wengine anabeba mimba.

Swali hapa ni kweli mwanaume mwenye pumbu moja hana uwezo wa kuzaa?

Nawasilisha.
 
Tumia lugha ya tafsida we mtoto!!! BTW kuna mwanaume mwenye mbili???
 
Mkuu,
Mimi nimeona mwingine mwenye moja na anao watoto tena chapa yake. Kushindwa kuzaa hutokana na mambo mengi sio pumbu moja, Kwani huwa kamwagi?? Mbegu haitengenezwi nusu huku na nusu kule zikaja kuunganika wakati wa kumwaga. Mbegu hutengenezwa na pumbu moja moja zikajaa kwenye kufuko wakati unamwaga zinatoka bila kujali kuwa zilitengenezewa kwenye pumbu lipi. Akomae tuu na ahakikishe lishe yake ni safi mtoto atatokea tu. Ka mbegu ni dhaifu, hata angelikuwa na pumbu 4 bado dhaifu tu acha moja.
 
Kuwa na pumbu moja ni ulemavu. Unaweza usisababishe kutozaa. Nenda hospitali ukachekiwe. wapo wenye pumbu moja na wanazalisha kama kawa
 
Unaweza kuwa na moja na bado ukapata watoto, na pia unaweza kuwa nazo zote na ukakosa watoto. Kwaiyo inategemea
 
Back
Top Bottom