Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Kwani madoctor hawapo jamani watupe elimu kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu siyo mimi. ingekuwa ni mimi nibgesema tu. Kwani kuna member anayenijua humu?Mkuu kama ni ww ni vizuri ukajielezea kwa ufasaha ukapata msaada.
Hakuna haja ya kumsingizia rafiki yako.
Nimepata taarifa zisizo na uhakika kuwa kaka anazo tatu,eti shem ni kweli?[emoji4]Kwani madoctor hawapo jamani watupe elimu kidogo
Si kweli...kuna ninaemjua alifanyiwa operation akatolewa korodan moja..still ana watoto wawili had sasa...aende akafanyiwe..spermiology mbegu ziangaliwe ili apewe ushaur wa kitaalam.kuna jamaa yangu mmoja ana pumbu moja na mpaka sasa ana miaka 37 hana mtoto. Kila mwanamke anayekaa nae kama mke hazai. Akimwacha tu akikutana na wanaume wengine anabeba mimba.
Swali hapa ni kweli mwanaume mwenye pumbu moja hana uwezo wa kuzaa?
Nawasilisha.