Ni kweli mwanaume mwenye pumbu moja hana uwezo wa kuzalisha?

Ni kweli mwanaume mwenye pumbu moja hana uwezo wa kuzalisha?

1476880657568.jpg
 
Mkuu kama ni ww ni vizuri ukajielezea kwa ufasaha ukapata msaada.

Hakuna haja ya kumsingizia rafiki yako.
mkuu siyo mimi. ingekuwa ni mimi nibgesema tu. Kwani kuna member anayenijua humu?
 
kuna jamaa yangu mmoja ana pumbu moja na mpaka sasa ana miaka 37 hana mtoto. Kila mwanamke anayekaa nae kama mke hazai. Akimwacha tu akikutana na wanaume wengine anabeba mimba.

Swali hapa ni kweli mwanaume mwenye pumbu moja hana uwezo wa kuzaa?

Nawasilisha.
Si kweli...kuna ninaemjua alifanyiwa operation akatolewa korodan moja..still ana watoto wawili had sasa...aende akafanyiwe..spermiology mbegu ziangaliwe ili apewe ushaur wa kitaalam.
 
Yote yanawezekana
Hali hyo huchangia low sperm count
 
Back
Top Bottom