Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Tumia lugha ya tafsida we mtoto!!! BTW kuna mwanaume mwenye mbili???kuna jamaa yangu mmoja ana pumbu moja na mpaka sasa ana miaka 37 hana mtoto. Kila mwanamke anayekaa nae kama mke hazai. Akimwacha tu akikutana na wanaume wengine anabeba mimba.
Swali hapa ni kweli mwanaume mwenye pumbu moja hana uwezo wa kuzaa?
Nawasilisha.
Hapa namaanisha zile gololi. Jamaa nan gololi moja.Tumia lugha ya tafsida we mtoto!!! BTW kuna mwanaume mwenye mbili???
..hata korodani mbona bado neno kali tuPunguza ukali wa maneno...tumia neno korodani
Huku kwenye jukwaa la afya unataja tu.Punguza ukali wa maneno...tumia neno korodani
Mwenyewe anasema alizaliwa hivyo hivyo.Iyo nyingine ulipeleka wapi?
Hee makubwa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Iyo nyingine ulipeleka wapi?
pole sana usiogope kusema ni wewekuna jamaa yangu mmoja ana pumbu moja na mpaka sasa ana miaka 37 hana mtoto. Kila mwanamke anayekaa nae kama mke hazai. Akimwacha tu akikutana na wanaume wengine anabeba mimba.
Swali hapa ni kweli mwanaume mwenye pumbu moja hana uwezo wa kuzaa?
Nawasilisha.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]naomba namba yake
wee[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sio kweli nini? Anazalisha au azalishi...Sio kweli,