John120
Senior Member
- Jun 13, 2021
- 139
- 281
Ni kwa maoni yangu binafsi siamini kama rais wa mawe ana Phd ya uchumi,na hii imedhihirika wazi kabisa jinsi anavyoendesha wizara hii na yeye akiwa ndio mwenye dhamana.
Amekuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiri kuhusu kuongeza njia za kukusanya mapato ,
Ni waziri mzigo ambaye analididimiza taifa na kuweka maumivu makubwa sana kwa wananchi wengi.
Hizi tozo zinazoibuka zinaumiza sana wananchi,
Mapendekezo yangu
Kuwa muungwana Tanzania ni yetu sote.

- Nakuomba uachie madaraka ili uendelee kulinda heshima ya aliyekuteua.
- Heshimu sauti za wananchi maana hao ndio waliokupa dhamana..
Kuwa muungwana Tanzania ni yetu sote.