Hakuna ukweli, una swal jingine?Kutokana na ngoma aliyotoa Darassa kuifunika ngoma ya Rich Mavoko aliyomshirikisha Diamond, inasemekana kuna dalili tosha kuwa Diamond kijiti anaanza kumpatia Darassa taratibu bila yeye kujua.
Je kuna ukweli wowote hapo???
Kaka sijakuelewa kiba kahusikaje na hii mada mbona kama umepuyanga iv ebu soma upy bandiko lng afu urudi kutoa Maoni upyaUnajua kinachombeba diamond ni menejiment yake iko vizuri kuliko king kiba na ndio maana diamond anang'ara ad leo unadhan kiba angekuwa anamenejiment kama hile angekuwa mbali sana
Hapo ni kwamba je biti za nigeria zitaweza kufunikwa na bongo flavour?sio alikiba tena? angalau umeanza kuamini kuwa ally hajafikia kiwango cha mondi
Mm nimeangalia kutrend kwa izo ngoma kuanzia kwenye media adi kitaani kuhusu aina ya mziki wanaoimba ata mm najua kila mtu ana style yakengoma ya darassa imetokea kupendwa sana kwasasa bongo nzima kwenye station za radio na luninga ,kwenye makumbi ya starehe na mtaani pia kuliko zote zilizotoka kwa kipindi hiki kama hiyo keroro na nyingine lakin usilinganishe watu wanao Fanya mziki wa aina tofauti .
Unajua kinachombeba diamond ni menejiment yake iko vizuri kuliko king kiba na ndio maana diamond anang'ara ad leo unadhan kiba angekuwa anamenejiment kama hile angekuwa mbali sana
Don't hate be inspiredLabda kijiti cha kutungia mishkaki pale mlandizi,huyo darasa sijui shule ndo anaimbaga ujinga gani???