princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Kiba naanza kuona hasiskiki[emoji23][emoji23]siyo vizuri jamani,munamkosea sana Alikiba..
Alikiba hataki msanii yeyote yule ashindanishwe na Diamond isipokuwa yeye tu..hata kiki ya ommydimpozi aliyoipata kwa Diamond mzee mzima Alikiba hakufurahia[emoji38],akajibebesha likiki la Pete ya kijani wakati hakuambiwa yeye hata haikua inamuhusu[emoji38]nayo ikabuma..
Huku munakofanya ni kumshusha Alikiba,mwenzenu anataka ashindanishwe yeye tu na Diamond na sio msanii mwingine..sasa kama mumeanza kumshindanisha na Darassa basi lengo lenu sio zuri,munataka Alikiba asisikike bali asikike Darassa tu[emoji38].
kweli chibu ndo mtoa kiki mjini!!!!!
hawatoweza wallai