Ni kweli nafasi ya Diamond imechukuliwa na Darassa?

Ni kweli nafasi ya Diamond imechukuliwa na Darassa?

[emoji23][emoji23]siyo vizuri jamani,munamkosea sana Alikiba..
Alikiba hataki msanii yeyote yule ashindanishwe na Diamond isipokuwa yeye tu..hata kiki ya ommydimpozi aliyoipata kwa Diamond mzee mzima Alikiba hakufurahia[emoji38],akajibebesha likiki la Pete ya kijani wakati hakuambiwa yeye hata haikua inamuhusu[emoji38]nayo ikabuma..

Huku munakofanya ni kumshusha Alikiba,mwenzenu anataka ashindanishwe yeye tu na Diamond na sio msanii mwingine..sasa kama mumeanza kumshindanisha na Darassa basi lengo lenu sio zuri,munataka Alikiba asisikike bali asikike Darassa tu[emoji38].
Kiba naanza kuona hasiskiki
kweli chibu ndo mtoa kiki mjini!!!!!
hawatoweza wallai
 
Kutokana na ngoma aliyotoa Darassa kuifunika ngoma ya Rich Mavoko aliyomshirikisha Diamond, inasemekana kuna dalili tosha kuwa Diamond kijiti anaanza kumpatia Darassa taratibu bila yeye kujua.

Je kuna ukweli wowote hapo???
Darassa ni msanii wa msimu tu, na kibaya zaidi hana tofauti anaimba vile vile kwa kukema kama anaumwa kifua.

Kinachofanyika ni kwa kuwa Clouds ( Wafanyabiashara) wanambeba kwa sababu wanamtmia kwenye matamasha yao, wamemwona kiasi fulani anauzika kwa sasa.

Baada ya kumtumia kwenye Fiesta, Mchomvu naye amemchukua anamtumia kwenye kitamasha chake cha After school bash.

Anatumika sana kwenye PSI kampeni amabayo naona Clouds pia wapo.
Mchomvu akishammaliza Shilawadu na wao wanajichotoea.Kila mtangazaji Clouds anapiga pesa kivyake.
Kwa sasa Darassa, Billnas,Bue ndo wanatumika vilivyo.Baada ya show kuisha suiria lawama za kuua paka au wakiuma,maana jamaa ni mabingwa kukupa misifa kibao na ngoma zako wanapiga kila dakika - wanakupa jina kubwaaa then mfukoni unakuwa njaa kaliiiiiiiiiiiii.Anyway msanii nyimbo zake kupigwa haina faida kubwa bora hata YouTube
 
Tena huko vijijini maskin wanakata mauno ya salome sbb wamemkumbuka saida wa watu. Ungesema wanakata mauno ya kokoro ningekuelewa
Basi wangeta mauno ya KIMASOMASO kama issue ni kuwakumbuka waliopita!

Umeridhika eti
 
HAPANA, ukweli hakuna.
-*Kwenye nyimbo ya kokoro, Richmavoko ameimba vizuri zaidi tulivyotegemea.
-*Darassa ni rapa mzuri na staili yake amefanya vizuri sana mwaka huu.
-*Daimond ni next level
 
Yess kuburudisha mashabiki ni kupiga biti za nigeria hahhahaha wapi kokoroooooo. Ni wakati wa wasanii bongo kupiga nija beats ha ha ha hua ha hua
Kajiandae ipo wapi mbn siisikii afu msibadilishe mada kiba hahusiki na ili bandiko kama huna point pita iv
 
Aina ya mziki anaofanya darasa haiwezi kutishia mzik wa Diamond, hivi unaweza kudhani kwamba Rhamos kung'aa na kutupia goli kwenye el clasico kunaweza kuhatarisha nafasi ya Ronado!?
Thread closed.
 
Marekani kuna zaidi ya wasanii 200 wanao'hit' kimataifa. Kwanini na sisi tusiwatengeneze wetu?
 
Aina ya mziki anaofanya darasa haiwezi kutishia mzik wa Diamond, hivi unaweza kudhani kwamba Rhamos kung'aa na kutupia goli kwenye el clasico kunaweza kuhatarisha nafasi ya Ronado!?
[emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
 
Kutokana na ngoma aliyotoa Darassa kuifunika ngoma ya Rich Mavoko aliyomshirikisha Diamond, inasemekana kuna dalili tosha kuwa Diamond kijiti anaanza kumpatia Darassa taratibu bila yeye kujua.

Je kuna ukweli wowote hapo???
Category zao ni tofauti na pia Darasa kasema yeye sio Simba wala sio Mamba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona mnatafuta kiki kwa nguvu zote wcb hawatoi kiki sikuiz mikausho tu labda mnunue akuna vyabure hapa kazi tu
 
tutawatengenezaje?? wakati watu wanaamini bila kushushwa diamond hakuna wa kwenda international[emoji26]
Tatzo lake na yeye ana gubu sana anataka awe yeye tu mbona akina harmo na rayvanny wako pale pale tu
 
Hkuna hicho kitu tatizo la diamond anataka kujifanya ndo anawatengeneza wasanii wenzake hapo ndo pagumu kumkubali na pia shombo zake ndo zinazofanya wamdiss
 
Back
Top Bottom