Ni kweli nafasi ya Diamond imechukuliwa na Darassa?

Sijui bana. Ila nafasi ya Fabregas pale Arsenal imepotezwa Mesut Ozil. Na hata alipotaka kurudi kutokea Barcelona kabla kutua Darajani, Wenger alimkataa kwa jeuri ya kuwa na Ozil.
 
Darasa kwa nyimbo alizotoa mwaka huu kila msanii wa hip hop akajipange, ila kumlinganisha na mondi si sawa muziki wao ni tofauti sana
 
Darasa mwenyewe anaviziwa kusajiliwa WCB. Mondi anawalipa vizuri vijana wake ndo maana label yake inasajili tu. Na lile "fuvu" la ofisini kwake ndo linazidi kuwavuta.
 
Humu kuna watu wagumu kuelewa...tunachozungumzia hapa ni nyimbo ipi inayobamba zaidi ya nyingine na sio darasa ampiku diamond tunajua diamond ni kama raisi wa wasanii saiv so jibu swami kama lilivyouliza
 
Hatutaki kushindanishwa na mtu.
Tunataka tufanye muziki mzuri tu.
Karibuni tucheze [HASHTAG]#Muziki[/HASHTAG]
 
Unajua kinachombeba diamond ni menejiment yake iko vizuri kuliko king kiba na ndio maana diamond anang'ara ad leo unadhan kiba angekuwa anamenejiment kama hile angekuwa mbali sana
Mtasingzia ving mno
 
Team mondi ndiyo mnapenda kumlinganisha king na mondi halafu mnadai mondi mkali. Ningeshangaa huu uzi kupita bila kumtaja king kiba. Kama mtu mkali kwa nini mnachachawa na king
 
ni janjazi hehehe na tunashukuru tumelipokea jina in a positive way ni ni wanjanja kiukwelii...
alikiba ni closed mind so hata wakina seven watakua wanapata sana tabu kumbadilisha
Mioyoni mnakubali king kiba ndiyo maana hamuwez pitisha uzi bila kumtaja. Hahahahahha wazee vieeews
 
Yess kuburudisha mashabiki ni kupiga biti za nigeria hahhahaha wapi kokoroooooo. Ni wakati wa wasanii bongo kupiga nija beats ha ha ha hua ha hua
 
Mioyoni mnakubali king kiba ndiyo maana hamuwez pitisha uzi bila kumtaja. Hahahahahha wazee vieeews
Nyie team kiba mnahangaika kichz hata uko insta mnapost diamond zaidi mnavyopost boss wenu sie uku wcb hatuna habari tunapunga upepo wa bahari
 
hivi hamuwezagi kumsifia msanii fulani bila kumweka diamond??
mkasema tu darasa mkali!!

kweli leo ndo nmeamini, Diamond ni kioo
mtu hawezi kutoka mpaka akajitazame!

kweli Diamond ni Icon
bado battle lake hamjapata mtu sahihi wa kumuweka!
hakukosea alisema ukweli kuwa hawatoweza!!!!!!
 
Nyie team kiba mnahangaika kichz hata uko insta mnapost diamond zaidi mnavyopost boss wenu sie uku wcb hatuna habari tunapunga upepo wa bahari
Hahhahaa hamna habar wakat kila siku mna kibarua cha kufungua thread kumi hahahhaa. King katulia anakula vyake, but mnachachawa
 
ili msanii aweze kua na mafanikio kumfikia au kumpita Diamond inabidi awe na management yenye exposure, katika kuteka soko la mziki wa ndani na nje, uwezo wa kufanya shoo nje ya nchi, kua na mipango mikakati ya kuweza kujimarket vizuri sana, kitu ambacho sijaona kama kuna msanii wa Tanzania anacho au anavyo...
 
Aliyeanzisha huu uzi ni kibarua wa mondi na hii yote ni kutaka jamaa aongelewe siku nzima. So msianzishe uzi hapa halaf mnacomplain hahahahaha
 
Tena huko vijijini maskin wanakata mauno ya salome sbb wamemkumbuka saida wa watu. Ungesema wanakata mauno ya kokoro ningekuelewa
 
Diamond anajaza ukumbi Zimbabwe... Darasa hawezi ijaza ata Maisha club. Wakumpiku Diamond bado ajaanza muziki, najua wengine mmemchoka ila mvumilieni tu maana mbadala wake bado sana.
Ni sawa na kusema kiba kajaza show ya fiesta. Hahahahaa wapi show ya stadium mayotte teeeeh teeeeh
 
Unafananisha ugonjwa wa mlipuko na UKIMWI
Inabid darrasa awe makini maana hamkawii.kumpelekea fuvu la kichwa la Silva. Yani wivu wenu mpaka kwen hiphop khaaaa! Nikajua ni kwa king tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…