Ni kweli Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji kazaliwa mwaka 1986? The World Is Not Fair

Ni kweli Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji kazaliwa mwaka 1986? The World Is Not Fair

"Kamwe, watu na hawatolingana" -imesema Biblia Takatifu.
 
Mbona mkubwa sana duu ana 32 age goo kabisa uyo takwim zinasema maisha ya leo mwafrika akiishi miaka mingi ni miaka 50 .upo kolomije nn mkuu
 
Mwaka 1961, Mwl. Nyerere alikuwa na miaka 39 tu. Sio ajabu. Miaka 32 ni umri wa kutosha tu kwa nafasi hiyo.
 
Mirisho Sarakikya alokuwa mkuu wa majeshi akiwa na miaka 28. Samwel Sita alikuwa wazirinakiwa na miaka 31. George Kahama alikuwa waziri akiwa na miaka 27. Kwa hiyo si ajabu. Uteule hauangalii miaka.
 
Mkuu wa wilaya ya kinondoni nae utasemaje
 
Inauma sana!

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mh. Juma Hamidu Aweso kumbe kazaliwa mwaka 1986?! Dah!

Kama ni kweli ameanza kula maisha mapema sana!
He is only 31 years old.Jamani kazi hizi zinahitaji akili iliyokomaa iliyo na hekima na busara lakini.Haya ngoja tusubiri.
 
Hata mimi nilipata urais chuoni nikiwa na miaka 21 tu[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom