Ni kweli Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji kazaliwa mwaka 1986? The World Is Not Fair

Ni kweli Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji kazaliwa mwaka 1986? The World Is Not Fair

Nyie ndio mnaotaka wazee waendelee kushikilia madaraka ilhali kuna vijana wenye uwezo na nguvu ila hawana kazi.
 
Mirisho Sarakikya alokuwa mkuu wa majeshi akiwa na miaka 28. Samwel Sita alikuwa wazirinakiwa na miaka 31. George Kahama alikuwa waziri akiwa na miaka 27. Kwa hiyo si ajabu. Uteule hauangalii miaka.
Naongezea na Salim Ahmed Salim.
 
Mzazi mwenzangu aliyenizalia mtoto wangu wa nje ya ndoa kazaliwa May 1986 so sishangai sana
 
Kama ana busara na hekima kwenye utendaji wake, mengine haina shida.
Ndiyo maana ana akili za kitoto huyu waziri
546638971f87bf6c88a678181617a43b.jpg
1243c0b6f7ecf7c90bba1a342436aba7.jpg
 
Niliukwaa uongozi wa Darasa nikiwa na miaka 8, drs zima lilikuwa linanitiii, tangia hapo ni vyeo tu, mpaka chuo kikuu, vyeo ni bandika bandua! hadi mtaani hapa wananipa majukumu!

Nyumbani nilihakikisha ng'ombe wote wameingia, na kukamuliwa kwa wakati, kila nyumba ya mzee imepata lita 5 za maziwa, asbuhi na jioni. hayapo! ni sababu zinatolewa mapema sana.kila siku kabla na baada ya shule!

Mleta mada inaonyesha hata uongozi wa kutunza bata na kuku nyumbani kwenu hukupewa hilo jukumu! acha hayo hata ile jukumu la kutunza hewa ndani ya nyumba tu! dororo! najua hujui kutunza hewa!
 
Back
Top Bottom