Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Duh hili swala umesema kweli umenifanya kutafakari vizuriAwamu hii kuna kula maisha kweli?, akijichanganya akatumbuliwa ndio basi tena ata bungeni anweza asirudi wishowe ni maisha ya stress na upweke.
Ukifanikiwa kisiasa ukiwa bado mdogo ni hatari kuliko ukifanikiwa ukiwa mtu mzima
Salimu Ahmed Salim alipata ubalozi akiwa na miaka 22.Mwaka 1961, Mwl. Nyerere alikuwa na miaka 39 tu. Sio ajabu. Miaka 32 ni umri wa kutosha tu kwa nafasi hiyo.
He is only 31 years old.Jamani kazi hizi zinahitaji akili iliyokomaa iliyo na hekima na busara lakini.Haya ngoja tusubiri.Inauma sana!
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mh. Juma Hamidu Aweso kumbe kazaliwa mwaka 1986?! Dah!
Kama ni kweli ameanza kula maisha mapema sana!
Hahahahaaa. Tutake radhi maalimUnashangaa nini mkuu khangi Lugola wa 1991
P. Madreva 1993Unashangaa nini mkuu khangi Lugola wa 1991