Niliukwaa uongozi wa Darasa nikiwa na miaka 8, drs zima lilikuwa linanitiii, tangia hapo ni vyeo tu, mpaka chuo kikuu, vyeo ni bandika bandua! hadi mtaani hapa wananipa majukumu!
Nyumbani nilihakikisha ng'ombe wote wameingia, na kukamuliwa kwa wakati, kila nyumba ya mzee imepata lita 5 za maziwa, asbuhi na jioni. hayapo! ni sababu zinatolewa mapema sana.kila siku kabla na baada ya shule!
Mleta mada inaonyesha hata uongozi wa kutunza bata na kuku nyumbani kwenu hukupewa hilo jukumu! acha hayo hata ile jukumu la kutunza hewa ndani ya nyumba tu! dororo! najua hujui kutunza hewa!