Ni kweli natafuta mchumba

Ni kweli natafuta mchumba

gyeetitus

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
86
Reaction score
39
Nipo dar-es-salaam mwaka wa kwanza CLINICAL MEDICINE
natafuta mchumba...weka # nitakutafuta mimi
 
Hata shughuli ya kufanya mjini huna umerukia kutafuta wachumba

Huko chuoni unaposoma hamna wanawake?
Njoo kariakoo duka la simu limeandikwa al-shiraz unanikuta ndo utajua ninakazi au sina kazi....huwa so date na wanawake was chuoni spendi mapenzi ya kitoto
 
Huko kkoo hakuna wanawake?

Uwe na duka la simu halaf ukose mchumba?
Ona kumbe mmeshakalili....tofauti ya watu wanaofanana hutenganisha kazi na mapenzi....dukani hata siku moja siingizi maswala ya mapenzi kwa wateja hata iwaje
 
Ona kumbe mmeshakalili....tofauti ya watu wanaofanana hutenganisha kazi na mapenzi....dukani hata siku moja siingizi maswala ya mapenzi kwa wateja hata iwaje
Akili za kuangalia movie za kikorea zina tabu sana
 
Back
Top Bottom